Vituko mitandaoni. Tupia chako

UKIMWI orijino wa miaka ya 80 na 90. Kuna wasiwasi kuwa unaweza kurudi tena kama ARVs zitakosekana.

View attachment 3288634
Jamani yaani mzabzab ndio nitakuwa hivi come 2027😭😭😭😭
Wana wa jf msisahau kuja kunitembelea basi hapo aga khan hospital during my last days on earth.
Lamomy nitashukuru sana ukiwa by my side wakati nakata roho....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…