Vituko mitandaoni. Tupia chako

Jamaa anapiga mistari hadi binti ameanza kujing'ata kucha 😜

Heri ya Mwaka Mpya Mkuu, natumai Mungu wetu wa rehema ameendelea kutupigania na kutupa afya sisi Wazee wote wa JF πŸ™πŸ™
Jamaa anafunga kamba hatari. Eti Yesu Asingemuwahi yeye ndiye angemfia demu ili kuondoa dhambi zake πŸ™πŸΏ

Heri ya mwaka mpya pia mkuu. Natumaini kila kitu kiko salama huko GC. Tuzidi kumuomba Mungu ili Azidi kutubariki na kutuongezea miaka yenye heri na afya tele hapa duniani. Asante sana ndugu yangu na Mungu Akubariki sana pamoja na wapendwa wake πŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ
 
Hahaha........bila hiyo mistari binti hawezi kuelewa, hapo anahisi jamaa ni mtume baada ya wale 12 wa Masihi πŸ€—

Neema ya Mungu iendelee kutushukia sisi Wazee wote humu, kwani ndiyo Wazee tuliobaki baada ya wengine wengi kutangulia mbele za haki πŸ™πŸ™

Barikiwa sana Mkuu πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…