[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji30][emoji30][emoji30][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Unasikia sauti ya mtoto wa kisukuma "pole mshana" View attachment 1537604
Hapa ni kwa msukuma alie soma mpaka degree 2
Ze GOAT mai futi [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Wewe haukuwa Kama hao mkuu?Poleni saana aisee
Mwaka mmoja wa kumaliza A'level niliwahi kukaa hostel ila ilikuwa kistaarabu zaidi na zaidi.Wewe haukuwa Kama hao mkuu?
Au hajawahi kaa hostel??
Oh basi umesoma shule ya watu wastaarabu.Mwaka mmoja wa kumaliza A'level niliwahi kukaa hostel ila ilikuwa kistaarabu zaidi na zaidi.
Maana ilikuwa kila time ya msosi tunakuwa kwa makundi. Kila kundi linakuwa na watu 6 na meza yao.
Hivyo kulikuwa hakuna jam, maana kila mtu alikwenda kwenye meza yake tu, iwe asubuhi, mchana au jioni.