Kuna mmoja hapa ananiomba buku 30 lakini siku nilimuomba linda akaniambia oh mzabzab una sura mbaya siwezi kukupa linda langu π€£π€£π€£
Mm najua tayari una wajukuu ππLife not fair...yaani ata huyu njemba ana mtoto mie sina
hii ni kweli kabisa wala sii uwongo