Ata ingekuwa mie sihami...timu gani nyingine ukiondoa yanga utapata mileage kama unayopata hapo simba kwa ajiri ya biashara. Wakina Kalpana wakinywa mo energy mambo yote mukide
Jumatatu njema kwetu sote.
Mwenyezi Mungu awajalie kheri zote wanafunzi wote wanaanza msimu mwingine wa masomo yao, wajaliwe heri pia wazazi na waalimu.