Pole kaka...kubet kunaumiza sana. Kuna ile game ya Liverpool na Everton nilimpa liver walau goli moja halafu akabamizwa mbili kama kasimama mkeka ukachanika.
Mwingine zilikuwa timu za Ujerumani baada ya kupitia sana statistics zao nikaona niwape no team to score 3 goals in a row kutokana na matokeo yao nikaona kabisa hapa magoli sio mengi. Mtu akabamizwa 3 bila afu ishirini yangu ikaenda na maji. Niliumia sana ukizingatia timu zote zilitoa kasoro hiyo na hii yote kiherehere cha kuongeza odds!