Vituko mitandaoni. Tupia chako

hahaha wewe hujakutana na wale wa kukaa zile chupi zenye vikamba vinapita kwenye mfereji wa matako
mkuu umenikumbusha hapo napokaa kuna msichana mmoja kuna siku nilikuta amefua nguo zake kamba nzima kwa kweli nilishangaa sana. Ni vikamba kamba tu, vyupi vya net na vinguo vidogo vidogo kama vya watoto, nilibaki nacheka tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…