Vituko mitandaoni. Tupia chako

Bikra magumashi zipo kibao Magomeni, Ilala, Kinondoni na Kariakoo..
Ukionekana una mzigo na kama familia ya demu imekuelewa anaitwa fundi kupachika 'Kibereko' uhangaike nachoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™„
Watu hawataki mchezo kwenye kusaka maokoto
Nini kinaendelea hapa?

Bikra za bandia? 😳

View attachment 3006900
 
Your browser is not able to display this video.



1. Uzito wa nyoya....
2. Made in Tabora....
3. Tukunyema...
4. 4Γ—4Γ—4Γ—far....
5. Zigo
6. Tafuta jibu, hapo ni kanisani au kitchen party au tamasha la wamama au kwaya au...
7. Wanaume muelewe, hii mizigo hamuishangai pekeyenu tuu, hata wenyewe kwa wenyewe huwa tunaishangaa na kuikodolea macho inavyorindima au kurindimishwa na wenyenayo....πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Angalia hao wadada wa nyuma ....😁😁😁 macho kodo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…