Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Mimi nazikulaga πͺπͺπͺ
Inasemekana anafanya makusudi ili wamfukuze aende akaungane na Toto Tundu wakiwashe huko ACT Wazalendo πAnaboa.
Akitaka mambo hayo aje ajifiche kwenye uzi wa "vituko mtandaoni.
Tupia chako".
Anajianika fb, naona anashalilika tu
Unamaanisha kiwango cha kati maana sifa mojawapo ya kuwa SDY ni kuwa tukunyema πππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈMwanachama mwandamizi ila sio kwa matukunyeye aisee!
Hongera sana nkamu. Mungu Akibariki kimalaika chake bila kuwasahau nyinyi wazazi wazaa chema. Hongereni sana! πππΏNipo dear. Basi uje unitembelee sasa hivi nina ka newborn full heka heka ndio maana hata huku nadra.
Kama hapa nilipopanga dah! Pisi zimechoka hatari utafikiri mwenye nyumba huwa anafanya interview na kuengua pisi zenye unafuu πππππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈ
A potbelly still gives good lovingπ₯΄π₯΄π₯΄π₯΄π₯΄π₯΄π
View attachment 3001643
Reply zako mpaka nizikutie hivi π₯΄π₯΄π₯΄ notification sipatiKama hapa nilipopanga dah! Pisi zimechoka hatari utafikiri mwenye nyumba huwa anafanya interview na kuengua pisi zenye unafuu πππππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈ
Ooooh pole.Reply zako mpaka nizikutie hivi π₯΄π₯΄π₯΄ notification sipati
π€π€π€ Umesalimika lakini
Anatembea ππ namshukuru Mungu.Ooooh pole.
Kuna shida ya notifications kwa baadhi ya watu. Kwangu naona zinafika bila tatizo.
Mimi nimesalimika ndugu yangu. Vipi huko? Kapwa kangu kameshaanza kusimama/kutembea?