Vituko mitandaoni. Tupia chako

hhhhhhhhh
 
Makonda anateseka akifika msibani anakaa upande wa pili tunapokaaga sisi wakati angekuwepo meza kuu na mkuu wa nchi na ndio angekuwa kati ya wanaokaribisha wageni mbalimbali kutoka nchi mbalimbali uku akiwa kwenye ulinzi mkubwa na msafara wa magari ya ikulu

Maisha nyoko sana
Tunywe bia


Jr
 
ZIJUE KAULI MBALI MBALI ZA WAJUMBE

"tupo pamoja"

"tupo nyuma yako"

"unakubalika sana"

"umeeleweka sana"

"sifa zako zilitangulia kabla yako hata huna sababu ya kuongea nasi"

"wewe ni jembe"

"wapinzani wako wanataka kupima kina cha maji kwa miguu miwili"

"mzee shona suti za ubunge kabisa maana njia nyeupe kabisa"

"Wee mtu wetu sana tena wa nyumbani kabisaa"

"mzawa".

" Huna dhambi"

. "marehemu Babaako tumeishi nae vizuri sana kipindi yupo hai"

"wee ndio chagua letu"

"Wewe ni mtu wa watu".

"Huna makuu".

"Usihofu".

"Tunasimama naww",

"wewe ndo mtu wetu hatutaki mwingine.."

Ongezea

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…