Vituko mitandaoni. Tupia chako

Wa kwanza kushoto. Idrissa Abdul Wakil (Rais wa Zanzibar, Makamo wa pili wa rais serikali JM Tanzania ).
Ali Hassan Mwinyi ( Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania).
Mwalimu Nyerere ( Mwenyekiti wa CCM).
Dr Salim Ahmed Salim ( Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Ulinzi ).
Joseph Warioba ( Waziri Mkuu na Makamo wa Kwanza wa Rais) wawili wengine sijawatambua kwakuwa hawaonekani vizuri.
Hii ni baada ya 1985 na kabla ya 1990
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…