Timu ya Taifa ya Uganda, Uganda the Cranes ilipotembelea Uingereza mwaka 1956. Jamaa aliyeonyeshwa kwa alama ya mshale aliamua kuingia kifusi akapata Chuo huko na baadaye kusoma vyuo vingine vingi. Alikuwa Mwafrika wa kwanza kutoroka akiwa ziara za michezo. Mwaka 1966 aliandika kitabu maarufu sana kiitwacho “The song of Lawino”. Huyo ndiye mwandishi nguli aliyeitwa Okot p’Bitek.