Wanasayansi wanahangaika kuyajua yaliyo mbali na Dunia ili hali hawajajikita kuzama chini, chini sana ya maji kujua hazina za siri zilizo kwenye maji ya Dunia.
'Naomba niwe mkweli, Yanga wako vizuri sana.
Kama hawatalewa sifa watafika mbali sana.
Msimu uliopita Timu yangu ya Simba iliifunga Horoya bao 7, lakini tukalewa sifa tukatolewa hatua ya robo fainali' ---Ismael Aden Rage