Kabla ya ndoa unapata angalau muda wa kufanya mazoezi.
Baada ya ndoa mambo ni bize bize kumtafutia mkate mtoto wa watu.
Ndiyo hivyo na kitambi lazima kichomoke
Kuna dokta mihogo ameanza kukumbukwa na wale waliomsimanga.
Akiba ya maneno hajawahi kumuangusha mwanasiasa ingawa wakati wa kutafuta kura inasahaulika