HII NDIO NCHI NDOGO ZAIDI DUNIANI
Sealand ndilo Nchi Ndogo zaidi duniani, Ina wakazi 27 pekee.
Nchi Hii Inaongozwa Kwa Mfumo wa kifalme (Monarchy) familia yake ya kifalme, ikiwa ni pamoja na Prince Roy, Princess Joan, na watoto wao wawili, Michael na Penny Wenye Mamlaka Katika Nchi Hii.
Sealand ni mojawapo ya nchi 200 duniani, yenye eneo la mita za mraba 550. Ina jeshi lake, bendera yake, sarafu yake, bunge , Timu ya Mpira , jeshi la polisi na mambo mengine ya nchi huru.
Kama Unahitaji Kuingia Katika Nchi Hii Itakulazimu Kuomba VISA