Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mbona yule mzee alikuwa anatafuna mahindi ya kuchoma njiani!!
 
Baadaye ikawa mwezi ujao


View attachment 2906591
Kwakweli tusidabganyane eti wawashe mitambo leo na siku hiyo hiyo waingize kwenye grid ya taifa kisha tuambiwe tatizo la umeme limeisha.
Siyo kweli.
Unapowasha mashine kwa mara kwanza kuna dosari nyingi za kiufundi zinajitokeza.
Mpaka kumaliza inaweza kugharimu mwezi au zaidi.
Tatizo bado tunalo, labda zaidi ya hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…