Life is just an illusion...
Hata yeye aliyebaki baada ya wenzake kutangulia, kuna cho chote alichofaidi kuwazidi waliomtangulia?
Hata kama angeishi miaka mingine 1000 mbele, kuna cho chote ambacho angefaidi kuliko wenzake hao waliomtangulia?
Maisha!
View attachment 2900940