Vituko mitandaoni. Tupia chako

imenifikirisha sana kwamba ni busara ama la, ukifikiria baba alivyo risk maisha yake yote na kupoteza vingi kwa ajili mtoto kisha ukiangalia thamani ya mtoto vile anavyo hitaji msaada katika udhaifu wake wa utoto, pia ukiangalia mwanamke ambavyo maisha yake hayawezi isipokuwa mwanaume, tegemeo na msaada wake upo mikononi mwa mwanaume nahitimisha kuomba sana mtihani huo asiupate yeyote.
 
Hadi mwili umumesisimka
Ushenzi wa hawa jamaa ni kwamba hawakushambulii hapo hapo. Haoo wanajipenyeza kwanza mpaka wafike sehemu nyeti ndiyo wanaliamsha dude. Mbona hata uko peupe mbele ya kandambasi usipokuwa mwangalifu utajikuta ushasaula? Tena ukute ni yale makomandoo yenye vichwa vikubwa vikubwa na meno kama mkasi dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ