The mesmerizing aroma of the natural womanhood...unaweza ukalia na ugali wallahi hata kama siyo Mpare! ๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธ
Inasemekana SGR wamejenga tuta kubwa kisha wakatoboa matundu ili maji yaweze kupitia sehemu nyingine. Sasa kwa bahati mbaya huko walikoyaelekezea ni mjini. Ndiyo maana ya hekaheka hizi mpya za mafuriko. Poor planning!