Vituko mitandaoni. Tupia chako

"Nimepokea tuhuma za Dulla Makabila kwamba hanikubali tena kisa nilienda kwenye shughuli ya Hajji Manara, lakini mimi sina kosa ile ni kazi yangu kama zilivyo kazi zake za kimziki. Mimi nimwambie tu Dulla Makabila kwamba amove on, aache kuumia kisa Zaiylissa akubali kwamba yale ni maisha yalikuja na yakapita, kwani ana ma EX wangapi? ni nani asiye na ex? akiendelea hivyo atakosana na watu wengi bila sababu za msingi"

"Hicho kitendo anachotaka kukifanya cha kuwa kwenye mahusiano na Rushaynah akidhani atamkomoa Hajji Manara ndio atajipa stress mara mbili na hawatadumu kwasababu hawapendani wanataka kulipiza kisasi, atulie afanye kazi atapata mwanamke mwingine mzuri, haya mambo ya kujifanya anajua kupenda hayana mwisho mzuri"- MC Garab

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…