Vituko mitandaoni. Tupia chako

Wakati wa utawala wa Mkapa kulikiwa na wana CCM watano wenye sifa kama hizo wakanyang'anywa urai kisha wakaambiwa waombe ili wapate uhalali.
Unakumbuka kamanda?
Aisee sikumbuki. Akina nani hao? Najua Mkapa alikuwa na bifu na Jenerali Ulimwengu ila sina uhakika kama sekeseke la uhalali wa uraia wake lilikuwa kipindi cha Mkapa, J.K au Magufuli.

Ila inavyoonekana wapo wengi tu!๐Ÿ‘‡

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ