Nilishakaribia kumuacha mtu kutokana na tabia yake ya kuminya dawa ya mswaki po pote pale bila kujali. Dawa ya mswaki mpya inaminywa tu hata katikati yeye hajali dah!
Katika hilo kabila uhendisamu wa mwanaume hupimwa kwa kuangalia ukubwa wa kitambi. Huyu akiendelea kulea hicho kitambi si ajabu akaishia kuwa kijana mzuri kuliko wote...