Vituko mitandaoni. Tupia chako

Ibara ya 148(1) ya Katiba ya JMT 2977 Mamlaka ya kuliamuru Jeshi iko kwa Rais wa JMT.Tunataka tujue tangu lini Chalamila Alitwaa Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania? Lazima Rais atuambie uhusika wake katika kadhia hii na tamko hili la hovyo linalo vunja katiba ya nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…