Kuweni makini sana jamaani kama mnafuga mbwa hawa viumbe mara nyingine wanasahau hata wanaowafuga na kuwapa chakula wanawajeruhi
Iliwalazimu askari wa maliasili kuwaua mbwa wote wawili ndio watoe majeruhi na kuwakimbiza hospitali
View attachment 2867303
Sent using
Jamii Forums mobile app