Vituko mitandaoni. Tupia chako

Tuseme Sadio ndiyo Ndoa ya kwanza? Kwamba alikuwa bikra
Kuna mvulana kutoka Afrika anaweza kutimiza miaka 30 na bikra?
Fikiria Sadio Mane ametoka kijijini Bambali ambako hali ya maisha kwenye vijiji vyetu ni duni.
Pia kumbuka huyu bwa mdogo ameishi na hela ndefu zaidi ya miaka 6 sasa ambazo warembo wangi barani Afrika na kwingineko zinawavutia.

Siamini bikra kwa Mane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…