Vituko mitandaoni. Tupia chako

Sasa hapo watasujuduje? Kichwa kugusa sakafu.........na hayo maji si yamebeba uchafu kwanini wasali sehemu chafu? Anyway wataalam watanijibu
Maji mengi ni maji safi.

Wanafanya ibada kwa ishara.
Ukikosa nafasi kuswali kwa kusimama unaruhusiwa kuswali kwa kukaa au kulala.
Pia unaruhusiwa kuswali kwa ishara kutokana na mazingira uliyonayo
 
Binafsi natamani sana kufanya jambo kwa jamii yangu kama alivyofanya Sadio, angalau hata chuo cha ufundi tu......vijana wawe na chakufanya,maana nikikumbuka njia tuliyopita daah, only God knows
Fanya hivyo.
Ila wafrika wengi ni wabinafsi sana.
Fikiria masupa staa wengi wa Afrika Magharibi wangefanya kitu kama Sadio Mane ingekuwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…