Nyumba ya walimu katika shule ya msingi Mtendachi, kata ya Madimba, halmashauri ya wilaya ya Mtwara Vijijini. Katika nyumba hii, kuna familia mbili za walimu.
Hivi karibuni walimu wakuu wa shule nchi nzima walisema watamchukulia Fomu ya Urais Samia 2025.