BREAKING: Serikali ya Tanzania iliuziwa ndege ya zamani sana ambayo ilishaondolewa kwenye air worthiness. Ndege hiyo Bombardier Q300 imekwama nchini Malta kwa miaka mitatu sasa tokea 2020 kwa sababu spare zake hazipatikani. Asante serikali yetu sikivu ya CCM. Kazi iendelee…
Sent using
Jamii Forums mobile app