Wao wabaki tuu na huo uwezo tunachojia sie malegend ni kwamba kama ndlama ipo mwanamke hawezi kukuacha ata kama anajua unacheat hasa hawa wetu wakitz.
Usijaribu huo ujinga ulaya utafirisika
Wataisoma namba....hamna cha bure hapa sii mlitaka haki sawa haya pambaneni mpate hela zenu. 🤣🤣🤣🤣 Alafu huyu mercy kaongea toka rohoni inaelekea jamaa aliomba tope