Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,468
- 7,745
Nimependa ubunifu wako ila kuna siku utashikwa tu. Hata ujifanye dabolooseveni James Bond kushikwa utashikwa tu πππFundi Xtrail Mbeya. Jinsi nilivyomsave Pendo wangu. Nina gari la Xtrail so hata akituma au kupiga Simu sina wasiwasi wanajua ni fundi wa gari aliyeko Mbeya Mjini. Nikienda Mbeya toka hapa Home Rungwe namwambia, fundi amenipigia niende akalitengeneze gari.
View attachment 2852186
Mwingine huyu Neema wangu mtoto wa kikinga. Nimemsave Kimotco kwani ndio bus analopenda kuoanda Mama Manka aendapo Nyumbani kwao Moshi.Nimependa ubunifu wako ila kuna siku utashikwa tu. Hata ujifanye dabolooseveni James Bond kushikwa utashikwa tu πππ
πππKuangalia tuuu inauma....je ikiiingia yallauuu
Ndio ww haujaenda?Na kwako pia...
Nawe umekwenda kujiji kijijini?
Na wewe pia π₯³π₯³Heri ya sikukuuu ya xmas na mwaka mpya 2024.
Sometimes "machale" yanaweza kukuokoa.
Haisomi saa, inasoma MIAKA 30Mnaojua kusoma saa, ni saa ngapi sasa?View attachment 2851747
24*360*30=ndio masaaa yenyewe mkuu πππππHaisomi saa, inasoma MIAKA 30