Jaslaws JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 6,016 Reaction score 5,300 Jun 24, 2014 #21 Possibles said: Labda hujui maana ya lugha.Au labda unafikiri lugha ni lazima iwe ile unayoifahamu wewe.Au labda hujui kuwa si kila lugha ni rasmi. Click to expand... Urasmi wa lugha unakujaje hapa..kinachogomba hapa ni hayo maandishi labda we mwezangu ungeandika hivyo pia na kusema sio lugha rasmi.?utakua umepitiwa.
Possibles said: Labda hujui maana ya lugha.Au labda unafikiri lugha ni lazima iwe ile unayoifahamu wewe.Au labda hujui kuwa si kila lugha ni rasmi. Click to expand... Urasmi wa lugha unakujaje hapa..kinachogomba hapa ni hayo maandishi labda we mwezangu ungeandika hivyo pia na kusema sio lugha rasmi.?utakua umepitiwa.
bysange JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 4,456 Reaction score 1,565 Jun 24, 2014 #22 wakoseaji kama hawa ni wakali kweli unapowaambia kuwa hapo ilipaswa pawe hivi.Uswazi kweli raha kila mmoja anajua kuwa anajua kumbe hajui kuwa hajui
wakoseaji kama hawa ni wakali kweli unapowaambia kuwa hapo ilipaswa pawe hivi.Uswazi kweli raha kila mmoja anajua kuwa anajua kumbe hajui kuwa hajui
Possibles JF-Expert Member Joined Sep 22, 2011 Posts 1,942 Reaction score 2,469 Jun 26, 2014 #23 Jaslaws said: Kwahiyo hiyo hapo sio lugha rasmi.??na wew ndo wale wale tu na elimu zenu za kukalili. Click to expand... Teh teh..tufanye umeshinda
Jaslaws said: Kwahiyo hiyo hapo sio lugha rasmi.??na wew ndo wale wale tu na elimu zenu za kukalili. Click to expand... Teh teh..tufanye umeshinda