madawi mart
Senior Member
- Nov 27, 2018
- 176
- 88
kwenda mtu wako halafu anamkodolea mijicho mtu mwingine duuuuuuuuNajua tulio wengi tunakutana na vituko, kero na changamoto nyingi kwenye hizi klabu za usiku Kuna visanga sio vya nchi hii...
Kuna wale Mangosha (Wasukuma mtanisamehe) na maanisha washamba, unakuta kila nyimbo wanacheza KWAITOHalafu yamekaa kimakundi, natamanigi niyatoe nje
Pale mwanaume unamfata demu ucheze nae halafu anakukwepa(aibu yake usisikie)..ila anakuja boya tu, mchafu mchafu..mlevi tu..anashikilia mchuma demu anakubali
hapo ndio utajua unanyota ya punda
Kuna muda mziki ndio unanoga..bia zinashuka Kama maji kuangalia mfukoni umebaki na hela ya boda bodahapa ndio unatamani hata kuweka simu Bondi, uendelee kupiga ulabu...
Unakutana na wale Malaya wa town unamnunulia bia zakutosha...anakuita Mume wangu...muda wa kuondoka anakukimbiahapo unatamani kwenda kuzidai counter
Hebu nipeni vituko vingine wadau...
Sent using Jamii Forums mobile app




