puker
JF-Expert Member
- Nov 22, 2018
- 1,024
- 2,088
Najua tulio wengi tunakutana na vituko, kero na changamoto nyingi kwenye hizi klabu za usiku Kuna visanga sio vya nchi hii...

Kuna wale Mangosha (Wasukuma mtanisamehe) na maanisha washamba, unakuta kila nyimbo wanacheza KWAITO

Halafu yamekaa kimakundi, natamanigi niyatoe nje

Pale mwanaume unamfata demu ucheze nae halafu anakukwepa(aibu yake usisikie)

..ila anakuja boya tu, mchafu mchafu..mlevi tu..anashikilia mchuma demu anakubali

hapo ndio utajua unanyota ya punda

Kuna muda mziki ndio unanoga..bia zinashuka Kama maji kuangalia mfukoni umebaki na hela ya boda boda

hapa ndio unatamani hata kuweka simu Bondi, uendelee kupiga ulabu...
Unakutana na wale Malaya wa town unamnunulia bia zakutosha...anakuita Mume wangu...muda wa kuondoka anakukimbia

hapo unatamani kwenda kuzidai counter

Hebu nipeni vituko vingine wadau...
Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna wale Mangosha (Wasukuma mtanisamehe) na maanisha washamba, unakuta kila nyimbo wanacheza KWAITO

Halafu yamekaa kimakundi, natamanigi niyatoe nje

Pale mwanaume unamfata demu ucheze nae halafu anakukwepa(aibu yake usisikie)

..ila anakuja boya tu, mchafu mchafu..mlevi tu..anashikilia mchuma demu anakubali

hapo ndio utajua unanyota ya punda

Kuna muda mziki ndio unanoga..bia zinashuka Kama maji kuangalia mfukoni umebaki na hela ya boda boda

hapa ndio unatamani hata kuweka simu Bondi, uendelee kupiga ulabu...Unakutana na wale Malaya wa town unamnunulia bia zakutosha...anakuita Mume wangu...muda wa kuondoka anakukimbia

hapo unatamani kwenda kuzidai counter

Hebu nipeni vituko vingine wadau...
Sent using Jamii Forums mobile app