Vitu vya muhimu kwenye Practical Interview (Interview ya Vitendo)

Wapendwa wana jf naomben mnisaidie nijue vitu vya muhimu katika Practical Interview(Interview ya Vitendo)
Kitu cha muhimu zaidi ni kufuata procedure za hiyo practical,hata kama utashindwa kumaliza lakini kama utakua umefuata procedure vizuri itakusaidia na uwe accurate na unachokifanya hata kama ni kidogo
 
Back
Top Bottom