kma huna leaving achana nayo beba tu document zako zngne znaweza kukusaidi baadae hata kwa zali tu kma vle academic certificate ya olev, birth cert na kma una driving lisence ww beba tuu kuna mashav fulan huwa yana hapen so itakusaidia saaana, achana na nyembe coz cku hzi hawaruhusu kutumia nyembe mnakatwa kweny posho yenu hela ya saloon lakin km utataka pure zungu bac utanunua nyembe kulekule kuna maduka kibao haraf kingne temana na hzo habar za kubeba condom ww unaenda kupga koz cyo kufanya ngono, jkt icwe place ya ww kuharbika kitabia ila kma ndyo tabia yako yaan ushaharibka tangu kitambo bac beba ila kuhusu pesa kma kwel zinapatkana bac beba za kutosha saaana maana cku hizi posho kupewa ni mpka six week ziishe na huwq inakuw hta zaid ya six weeks
yangu ni hayo tu AJ 9800 SM JACOB..... mwaka jana ndan ya 838KJ MARAMBA-TANGA