Vitu vitakavyonifanya nimchague Lowassa

Vitu vitakavyonifanya nimchague Lowassa

Mwa chando

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
359
Reaction score
122
Je, wajua ni mambo yapi lowassa amenuwia kuyafanya kwa kipindi chake cha kwanza kama rais??

1. Kitengua mikataba 18 ilio sainiwa na china miezi michache ilopita

2. Kufungua saccos 2 ambazo zitakuwa na mashart nafuu kwa vijana wanaotaka kujiajiri.

3. Kutenga miji special kwa biashara, viwanda, kilimo na elimu.

4. Kujenga fly over kwenye miji ya dar es salaam, arusha na mwanza.

5. Kutoa mikopo kwa wanafunzi wote wa elimu ya vyuo vikuu.

6. Kuunda mashamba makubwa, morogoro, iringa, babati, mbeya, katavi, kigoma, tabora na tanga.

7. Kufufua reli ya kati kwa kuleta treni ya kisasa.

8. Kupunguza bei ya cement na vifaa vingine vingi vya ujenzi.

9. Kupandusha mishahara kwa wafanyakazi wa serikalini na kulipa madeni ya wastaafu wa tazara, na mashirika mengine mengi yanayoidai serikali.

10. Kupitia upya mikataba yote isio na masirahi kwa wananchi.

Share na watanzania wenzako.....lowassa ndiyo rais wako.
 
Haya no mapya kulinganisha na yale yalioyotajwa kwenye safari ya matumaini!!

Mpaka oktoba tutaona vituko vingi sana.
 
Yes,Kijani itoke madarakani,Miaka 50 waliyotuongoza inatosha
 
Naiona TANZANIA mpya chini ya uongozi wa LOWASSA baada ya miezi miwili ijayo, Ee Mungu nipe uhai nishuhudie mabadiliko haya!
 
Je, wajua ni mambo yapi lowassa amenuwia kuyafanya kwa kipindi chake cha kwanza kama rais??

1. Kitengua mikataba 18 ilio sainiwa na china miezi michache ilopita

2. Kufungua saccos 2 ambazo zitakuwa na mashart nafuu kwa vijana wanaotaka kujiajiri.

3. Kutenga miji special kwa biashara, viwanda, kilimo na elimu.

4. Kujenga fly over kwenye miji ya dar es salaam, arusha na mwanza.

5. Kutoa mikopo kwa wanafunzi wote wa elimu ya vyuo vikuu.

6. Kuunda mashamba makubwa, morogoro, iringa, babati, mbeya, katavi, kigoma, tabora na tanga.

7. Kufufua reli ya kati kwa kuleta treni ya kisasa.

8. Kupunguza bei ya cement na vifaa vingine vingi vya ujenzi.

9. Kupandusha mishahara kwa wafanyakazi wa serikalini na kulipa madeni ya wastaafu wa tazara, na mashirika mengine mengi yanayoidai serikali.

10. Kupitia upya mikataba yote isio na masirahi kwa wananchi.

Share na watanzania wenzako.....lowassa ndiyo rais wako.

Kampigie tu kwani mpaka uweke matangazo
 
Back
Top Bottom