Vitu muhimu kwa nchi kupata maendeleo

Vitu muhimu kwa nchi kupata maendeleo

maramojatu

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2012
Posts
2,012
Reaction score
2,644
WanaJF,
Tunavyoelekea uchaguzi mkuu hebu tujadiliane kwa nini Tanzania hatuna maendeleo.
Hayati baba wa Taifa alisema kuwa ili nchi iendelee inahitani vitu vifuatavyo;
Ardhi
Watu
Siasa safi
Uongozi Bora

Tukijadili kidogo tunaona ardhi tunayo tena yenye rutuba kuliko nchi nyingi Afrika. Watu milioni 61 wapo. Siasa safi ipo sana tu. Tukimalizia na uongozi bora chini ya mama Samia nini tena tumebakiza?

Au kuna ambavyo haviko sawa.
Tujadiliane
 
Tungeondoa siasa hapo na kuweka uwajibikaji ingependeza zaidi
 
Back
Top Bottom