Kila kitu Hapa TZ tunacho, tatizo letu ni uaminifu kuna tabia ya kukwepa kodi kila siku wajanja wanajitahidi kukwepa kodi sasa ukiithaminisha nyumba kesho TRA wanakuja na idadi ya kodi unazotakiwa kutoa ndio maana kila mwenye nyumba kama hiyo anakaa kimya ili yasimpate makubwa.
hilo la kwanza lakini la pili nyumba zenyewe hazipatikani kihalari, ukiionyesha nyumba kama hiyo tu, tayali kikosi cha kupambana na kurutubisha Rushwa wako mlangoni wanataka kujua jinsi ulivyoipata hiyo nyumba.
hivyo basi kwa sababu hizi mbili hakuna mtu anaeweza kuthubutu kuianika nyumba yake.