VIts ya bei nafuu inahitajita ASAP

VIts ya bei nafuu inahitajita ASAP

ZionTZ

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2009
Posts
1,282
Reaction score
541
please ni pM, kwa yeyote aliyonayo af akawa anaiuza tafadhali check with me tufanye biashara fasta
 
Una shingapi mkuu tukuulizie kwa matajiri?
 
Una shingapi mkuu tukuulizie kwa matajiri?

we cheki na hao matajiri, then kama wanayo waseme bei....kama nilivokuambia natafuta ya bei nafuu.....
 
Poa mkuu, lakini angalia usitafute ya bei nafuu sana. Utakuwa rafiki na mafundi.

i have the margins so dont worry, kabla ya ununuzi lazma likaguliwe na proffesional mechanics.....
 
iko katika hali gani mkuu?? kama vipi weka picha fasta....af bei ni fixed au ndo umeanzia hapo....je kuna mazungumzo??

Mkuu iko katika hali nzuri kwa sasa inaendeshwa na mwanamke, picha sitoweza kupata kwa sasa
 
Mkuu iko katika hali nzuri kwa sasa inaendeshwa na mwanamke, picha sitoweza kupata kwa sasa

Hii mantiki yake huwa nini hasa, mnamaanisha wanawake ni watunzaji sana, hivyo mtu akinunua chombo chochote ilimradi kilikuwa na mwanamke kitakuwa bora! Kigezokinachotumika hapa hasa ni nini.
Wanawake mpooooooooooooooooooo........!!!!
 
hacha ushabiki kama huna gari kaa kimya
 
hacha ushabiki kama huna gari kaa kimya
Jibu hoja Kijana. Elimisha watu, ottherwise uniambie umekalili huu msemo unaotumika mara kadhaa katka kunadi vitu. (Simu kama iPhone, Music Systems, Magari etc.)
 
Mkuu iko katika hali nzuri kwa sasa inaendeshwa na mwanamke, picha sitoweza kupata kwa sasa

mawasiliano inakuaje kaka....?? nitumie namba yako au ya muuzaji nijue jinsi ya kuwapata.....NI YA RANGI GANI?? kuna vitu unaweza kuvielezea hata bila picha mtu akapata japo idea hiyo gari ni ya namna gani, mfano mileage, color, model, produced year etc etc....nipo serious mkuu leta majibu mapema tufanye kazi
 
Vp, hauhitaji za show room ? Zinaanzia mil 7.5. Hizi ni staight from Japan.
 
Back
Top Bottom