inspectorbenja
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 650
- 716
Wadau nashukuru sana، nimeshapata gari.Gari ya bei hiyo si ni pasua kichwa mkuu?
JESUS IS LORD
Umepata gari gani? Usifunge mada kirahisiWadau nashukuru sana،nimeahapata gari.
Uzi umefungwa rasmi.
Vits mdauSafii
Safi sana umepata gari. Vitz ni gari ambayo ni rahisi sana kutengenezeka ndio maana mpk leo Namba A bado zinadunda kitaani. Ukipata pesa baadae ikarabati irudi kwenye mstari uendelee kufurahia mema ya nchi. Na kwa mafuta Vitz inanusa tuVits mdau
Vp vitz uki compare na raum.Safi sana umepata gari. Vitz ni gari ambayo ni rahisi sana kutengenezeka ndio maana mpk leo Namba A bado zinadunda kitaani. Ukipata pesa baadae ikarabati irudi kwenye mstari uendelee kufurahia mema ya nchi. Na kwa mafuta Vitz inanusa tu