Ndio inawezekana kabisa kufanyiwa operesheni katika umri wowote.Naomba ushauri.Mtoto akizaliwa na kitovu kikubwa kuna uwezekano wa kukirudisha kikawa cha kawaida?Je kama ni operation Yafaa afanyiwe akiwa na umri gani?
Shukran MkuuNdio inawezekana kabisa kufanyiwa operesheni katika umri wowote.
bunafc nilikuwa na kitovu kikubwa nilipo fika darasa la kwanza nikaanza kukifunga yaani nikawa navalia sket kitovuni nakazaa mpka nafka form two kikawa kimeingia ndaniShukran Mkuu
Inawezekana tena bila operation.Sijaelewa swali lako vizuri, ila mimi mwanangu nilimzaa akiwa na kitovu cha kawaida ila alivyofikisha kuanzia mwez 1 hadi 3 kikawa kikubwa...nilichofanya nilichukua plasta na shilingi 200 nikawa nambandika kwenye kitovu na kila nnapomuogesha namtoa napapaka poda nambandika tena...ndani ya mwez kitovu kikanywea mpaka leo kimeingia ndani