Salam wajuvi.
Nimeshawahi kuona baadhi ya watu hasa watoto kuwa na vitovu vikubwa. Je hii kitaalam inaweza kuwa ni nini?
Unapokuwa mkubwa kitovu hicho hurudi na kuwa kama ambavyo wengi wetu tupo.
Kama ni shida ya kiafya je huwa kuna tiba ama ni sawa na ukilema hivyo hudumu hadi kifo?
Hiyo kitu inaitwa umbilical hernia,mara nyingi hua inafunga yenyewe na kitovu kurud kama kawaida ila kwa cases nyingine hua wanafanyiwa operations ila locally kama mtoto anayo huwa wanafunga shilingi na nguo kitovuni kukirudisha ndan...