maila majani Senior Member Joined Nov 24, 2014 Posts 110 Reaction score 11 Jun 2, 2016 #1 Naombeni kujua bei ya viti vya plastiki kwa @ kimoja, viti inyo ni maalum kwaajili ya sherehe na vikao, tafadhali nawasiliaha
Naombeni kujua bei ya viti vya plastiki kwa @ kimoja, viti inyo ni maalum kwaajili ya sherehe na vikao, tafadhali nawasiliaha
T trplmike JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 701 Reaction score 798 Jun 3, 2016 #2 maila majani said: Naombeni kujua bei ya viti vya plastiki kwa @ kimoja, viti inyo ni maalum kwaajili ya sherehe na vikao, tafadhali nawasiliaha Click to expand... Vinategemea na aina na ubora. Ila vinarange kuanzia elfu 14 mpaka 35. Ninda maduka ya Cello kariakoo kama upo Dar
maila majani said: Naombeni kujua bei ya viti vya plastiki kwa @ kimoja, viti inyo ni maalum kwaajili ya sherehe na vikao, tafadhali nawasiliaha Click to expand... Vinategemea na aina na ubora. Ila vinarange kuanzia elfu 14 mpaka 35. Ninda maduka ya Cello kariakoo kama upo Dar
N NAKWEDE JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 27,972 Reaction score 35,197 Jun 3, 2016 #3 maila majani said: Naombeni kujua bei ya viti vya plastiki kwa @ kimoja, viti inyo ni maalum kwaajili ya sherehe na vikao, tafadhali nawasiliaha Click to expand... sina ile website ya jamboplastic nadhani ingesaidia kujua bei halisi na bidhaa zao nzuri hasa viti haviangushi ovyo
maila majani said: Naombeni kujua bei ya viti vya plastiki kwa @ kimoja, viti inyo ni maalum kwaajili ya sherehe na vikao, tafadhali nawasiliaha Click to expand... sina ile website ya jamboplastic nadhani ingesaidia kujua bei halisi na bidhaa zao nzuri hasa viti haviangushi ovyo
mgangawaukoo JF-Expert Member Joined May 8, 2016 Posts 2,183 Reaction score 2,394 Jun 3, 2016 #4 Sema upo wapi? Unauliza Kama unauliza watu wa mtaani kwako!