Viti maalumu vya ubunge wanawake

Viti maalumu vya ubunge wanawake

Malasome

Member
Joined
Jul 14, 2015
Posts
44
Reaction score
3
Naombeni tafadhali mnijuze kanuni ya kupata wabunge viti maalum wanawake kuwakilisha chama.
 
Naombeni tafadhali mnijuze kanuni ya kupata wabunge viti maalum wanawake kuwakilisha chama.

...kila chama kina style yake..chama changu cha zamani, viongozi wanaume wanakaa, wanaelewana binti, dada, mchumba, mchepuko wa nani, miongoni mwao awe mbunge wa viti maalum...!
 
Nimeumia sana kwa dhuluma tuliyofanyiwa na NEC kwa maelekezo ya serikali ya CHAMA CHA MAPINDUZI imani yangu ni kuwa kwa maumivu tuliyoyapata kama wana UKAWA hili litakuwa funzo isitokee hata sisi tukawadhulumu wenzetu tunao wazidi ubavu.
 
Back
Top Bottom