ntamwangah
Senior Member
- Jan 16, 2013
- 164
- 24
Ni kuhusu wabunge wa viti maalumu katika chama cha chadema, je wabunge wa viti maalumu ndani ya CHADEMA wanapatikanaje? je kuna kura zinapigwa? ni kura zipi hizo?
Je kutoka mkoani? naamini kila mkoa hushindanisha ili kumpata aliyeshinda kimkoa na anakuwa kama mbunge mshindi wa mkoa,je vipi kuhusu kitaifa wanashindanishwa kwa kura zipi? au ni viongozi tu wanaopendekeza fualani na fulani?
Jje ili mtu ateuliwe kuwa mbunge vipi maalumu lazima huo mkoa ushinde nafasi ya ubunge? je ni kura zipi zinzhesabiwa? je kama mkoa utahitajika kutoa wabunge viti maalumu watano ni kigezo kipi hutazamwa?
Nahitaji msaada katika haya ndugu zangu wanachadema.Na kumbukeni mwaka huu mtakuwa na wabunge wengi viti maalumu zaidi ya hamsini hivyo ni mhm hata kwenu kujua haya.