Viti maalum- CHADEMA


Acha kutufuatafuata CDM na wasukuma wapi na wapi! walitupa kura za ubunge kimakosa hatupanga tangia mwanzo kutoa viti maalum SHY. Pia tuna usongo na SHIBUDA, nyie SHY kuna viti maalum toka CCM vinawatosha.
 
Hivi hujarudi tu Mirembe hospital toka utoroke? Mura ujue sasa tutakupigkha!!

Wewe unatakiwa uende Samunge ukapatiwe kikombe ndipo uwe na uwezo wa kujibu badala ya kuropoka mbofumbofu:majani7:
 

bi nyerere ni mbunge wa wapi halafu punguza ukilaza hayo majina ya viti maalum yalipelekwa mwezi mmoja kabla ya uchaguzi na si baada ya uchaguzi
 
Acha uongo wewe je binti wa mashishanga ni viti maalumu kutoka mukoa upi Acha unafiki kama umetumwa imekula kwako hatudanganyiki eboo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…