Mahakama ya kadhi atapigwa mawe bora apelekwe kule mnakochinjana kama kuku ati kwa wivu wa mapenzi.Peleka mahakama ya Kadhi ahukumiwe kupigwa mawe
Mahakama ya kadhi atapigwa mawe bora apelekwe kule mnakochinjana kama kuku ati kwa wivu wa mapenzi.
Tatizo haka kamechezo nako huwa katamu...watu wnashindwa kujizuia...
zanzibar uyahe mwingi.usultani,umwinyi,ubwenyenyeleo mbona unalonga kwa hasira hivyo?!. unadhani ukweli utabadilishwa kuwa uwongo. Ubakaji haumalizwi kwa jazba, ongezeko la ubakaji lina visababishi....... moja wapo ni tabia ya dola ya zanzibar kuwashughulikia waharifu kwa matabaka, kuna mtu akifanyiwa uharifu hasikilizwi................
kwa nini munabakana?Mahakama ya kadhi atapigwa mawe bora apelekwe kule mnakochinjana kama kuku ati kwa wivu wa mapenzi.
Peleka mahakama ya Kadhi ahukumiwe kupigwa mawe
Wanaobakwa huwa wana umri mkubwa tu...cha ajabu huwa wengine nasikia hawapigi kelele wanasubiri mpaka umalize eti ndio wanaenda polisi kushitaki...chezeya haka kamchezo weye.....acha hizo bwana.hila usimwambie mtu kuacha haka kamchezo kanaitaji imani.kwani wanabakwa wana umri gani?
[
KUBAKA SI HARAM....dini zingine bwana ....!wanaobaka ndo hao tunaowaona kwenye mihadhara....
Nani kasema na ni dini gani hiyo.
basi hajabakwa bali walibakanaWanaobakwa huwa wana umri mkubwa tu...cha ajabu huwa wengine nasikia hawapigi kelele wanasubiri mpaka umalize eti ndio wanaenda polisi kushitaki...chezeya haka kamchezo weye.....
wakuu tafsiri ya kubaka kwa Pemba ni tofauti na tuijuavyo huku bara! nilikuwa pemba nafanya utafiti fulani. unamuuliza mwanamke kama aliwahi kubakwa? anasema hapana, lakini ukimuambia mtoto wako wa kwnza ulimpata ukiwa na umri gani anakuambia 15!
kule ukitaka kumuoa binti wa form two unapewa baraka na wazazi, waalimu na jamii nzima!