Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,939
- 61,732
Tofauti yake kinakuwa juuEeeh! hata kama ndo hizo shughuli za ndoani, kwani mnakuwa vitani?? Kuna tofauti gani na sakafu ya kawaida iliyopo chumbani?
Basi sawaTofauti yake kinakuwa juu
Jaribu kukitumia uje utupe ushuhudaBasi sawa
Bora umetuwekea pichaVita ikizidi ....
Mnashusha godoro chini
Ki wima wima
Sauti ya redio inakuwa juu kuliko sauti nyingine 😋
Mbinu kadhaa za medani za kivita....
Maumivu yakizidi muone fundi Maiko 🤪👇🏽
View attachment 1977514
ha ha ha unatafuta fundi mzuri akubunie kitu kizuriNimeona asaiv watu wanavijenga sana.
Sema vingine vimekaa kama makaburi [emoji23][emoji23]
NakaziaPicha tahadhari.
no. 9Nakazia
Mimi hapana aisee! hivi vya mbao vinanitosha... Maana sina hakika kikinishinda kutumia nakipeleka wapi!!!Jaribu kukitumia uje utupe ushuhuda
Endelea kupigia majirani kelele na kujinyima uhuruMimi hapana aisee! hivi vya mbao vinanitosha... Maana sina hakika kikinishinda kutumia nakipeleka wapi!!!
Kabisa nadhani nitajihisi nipo juu ya kaburi! Looh!!!Nimeona asaiv watu wanavijenga sana.
Sema vingine vimekaa kama makaburi [emoji23][emoji23]
Ujirani mwema ni pamoja na kuvumiliana..Endelea kupigia majirani kelele na kujinyima uhuru
Viwe Vingi Bila Kutandikwa Tuone Uzuri Wakeno. 9
Upo Wapi Sasa HiviUjirani mwema ni pamoja na kuvumiliana..