Vitanda vya sofa Dodoma

Vitanda vya sofa Dodoma

Mrak

Member
Joined
Dec 26, 2022
Posts
13
Reaction score
16
Kwa Dodoma Mjini vitanda vya sofa vipo vipya na imara it's only 220k nichek 0710 954395 vipo rangi zote.

IMG_20230214_085053_810.jpg
P-IMG-20230214-WA0006.jpg
P-IMG-20230214-WA0005.jpg
 
Ahueni unauza bei rafiki kama ile ya Iringa mjini. Pale maeneo ya Meriwa kama unaeelekea mjini, kuna jamaa wanauza bei ya kulangua mpaka basi.
 
Kwanini vinaitwa vitanda vya sofa ikiwa havina sofa.
1676609271388.png

Nilidhani hicho ndio kinapaswa kuwa kitanda cha sofa.
 
Havilegei?
Nikipigia show hapo hakitaanza kutoa sauti hicho??
 
Mkuu ebu toa location maana jana (usiku) nimevunja chaga..😋😋 na umeweka tangazo wakati muafaka kabisa..🤝
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom