Vitanda, milango, meza, soza za chuma kwa bei poa

Salahan

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Posts
2,961
Reaction score
3,698
Habari Tanzania hususani wakazi wa morogoro mjini na maeneo jirani.CHAPAKAZI METAL FABRICATION MOROGORO ambao ni mabingwa wakongwe katika fani ya uundaji vifaa kwa malighafi za chuma,sasa wapo tayari kukuhudumia mteja popote ulipo.Kwa kuendana na teknolojia katika masuala ya urembo wa ndani na nje ya nyumba yako ama ofisini CHAPAKAZI METAL FABRICATION MOROGORO tutakutengenezea vifaa vyenye muonekana wa kuvutia na vya kisasa na kuifanya nyumba ama ofisi kuwa yakuvutia.Kwa kutumia mitambo ya kisasa na mafundi waliobobea tutakufanyia kazi bila usumbufu kwa wakati na kwa bei nafuu kabisa.Karibu tukuhudumie.
CHAPAKAZI METAL FABRICATION MOROGORO
Wasiliana nasi kwa namba ya simu 0789529242
TEMBELEA BLOG YETU KUJIONEA KAZI ZETU
chapakazi

Morogoro Mzumbe Misufini.
KARIBU SANA KWA BIASHARA


 

Attachments

  • IMG_20150103_152540.jpg
    420.4 KB · Views: 1,839
  • IMG_20150112_180320.jpg
    389.1 KB · Views: 1,417
  • IMG_20150305_124150.jpg
    428.4 KB · Views: 1,333
  • IMG_20150503_125616.jpg
    357.3 KB · Views: 1,564
  • IMG_20150429_151734.jpg
    385.1 KB · Views: 1,306
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…